Wimbo wa nisaidie ni wimbo ambao nimeshirikiana na marafiki zangu Ambwene Mwasonge , The voice , Eliya Mwantondo , Beda Andrew , Nsajigwa Modecai na Peace Mbogo Nisaidie ni wimbo ambao unalenga kumtia moyo mtu ambaye amekata tamaa, amekataliwa , kuumizwa na kukosa msaada .Pamoja na hayo yote bado unaweza kumwamini Mungu akakuinua tena , kuondoa maumivu yako na kukupa sababu ya kuishi kwa ushindi tena.Hiajalishi napitia wakati mgumu kiasi gani omda maombi haya rahisi pamoja na mimi mwambie Mungu " NISAIDIE "
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.