ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, October 20, 2019

RAIS DKT MAGUFULI AJITOKEZA HADHARANI AKIWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU DSM 20 OCTOBER 2019


WAKATI joto la taarifa za kustua likiendelea kutanda mitandaoni huku baadhi ya wanasiasa wakichomoza kwenye kurasa zao na kauli za kumuombea mabaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John P. Magufuli, hayawi hayawi hatimaye wameumbuka.

Rais Magufuli amejitokeza hadharani Ikulu jijini Dares salaam  navyo vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii nchini ikionesha tukio mubashara la kuwaapisha viongozi watatu wapya  aliowateua baada ya taarifa iliyotolewa awali kabla na Ikulu Mawasiliano ikiainisha kufanyika kwa utenguzi na uteuzi ambao pia ulizua mjadala kuwa 'eti' ulikuwa ni wa 'danganya toto' kuvuta muda kwa baya la uvumi lililovumishwa ili kuwaandaa wananchi kisaikolojia.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.