ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 7, 2019

MAKAMISHNA WA NNE TOKA JESHI LA POLISI WAKIONGONZWA NA MKURUGENZI WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI (DCI) ROBERT BOAZ WAMETEMBELEA MRADI MKUBWA WA KUZALISHA UMEME KATIKA MTO RUFIJI.


 Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Boaz, akiongoza kikao cha Maafisa na Wahandisi wa Ujenzi wa Mradi Mkubwa wa kuzalisha Umeme katika Mto Rufiji mkoani Pwani baada ya kufanya ziara ya siku moja katika mradi huo. (PICHA NA JESHI LA POLISI)
 Makamishna wa Polisi wakiongozwa na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Boaz, katikati na kulia kwake ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, Kamishna wa Kamisheni ya Polisi Maabara na Uchunguzi wa Kisayansi CP Shaban hiki na kushoto kwa CP Boaz ni Kamishna wa Kamisheni ya Polisi Intelijensia ya Jinai CP Charles Mkumbo wakiwa katika picha ya pamoja na Wahandisi wa Ujenzi wa mradi wa Umeme Rufiji baada ya kufanya ziara ya siku moja katika mradi huo.(PICHA NA JESHI LA POLISI)Mhandisi Manda akitoa maelekezo juu ya Ujenzi mradi wa uzalishaji Umeme katika Mto Rufiji kulia kwake ni Kamishna wa Kamisheni ya Polisi Intelijensia ya Jinai CP Charles Mkumbo, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Boaz wa kwanza kutoka kulia ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Liberatus Sabas (PICHA NA JESHI LA POLISI)

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.