#BreakingNews Tanzania yafuzu fainali za CHAN mwaka 2020 kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2009. Ni baada ya kushinda 2-1 dhidi ya Sudan na kufuzu kwa faida ya goli la ugenini.
Kikosi cha Taifa Stars kilichoshuka dimbani leo kwenye mchezo wa Marudiano kufuzu CHAN dhidi ya Sudan.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.