Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (aliyevaa mavazi ya kiraia), akiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa na wafungwa katika Gereza la Butimba, jijini Mwanza ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli la kutaka wafungwa watumike katika shughuli za uzalishaji.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (aliyevaa mavazi ya kiraia), akiangalia nguo inayoshonwa na wafungwa katika Gereza la Butimba, jijini Mwanza ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli la kutaka wafungwa watumike katika shughuli za uzalishaji.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Maafisa wa Jeshi la Magereza wakati wa ziara yake alipotembelea Kiwanda cha Gereza Butimba, jijini Mwanza.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiangalia moja ya mashine inayotumika kutengenezea vikoi wakati wa ziara yake alipotembelea Kiwanda cha Gereza Butimba, jijini Mwanza.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.