Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) chini ya kampuni mama ya kimataifa ya ABInBeb, imeshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Uchangiaji Damu Duniani mwishoni mwa wiki iliyopita.
Katika maadhimisho hayo kampuni iligawa kinywaji chake pendwa kisicho na kilevi cha Gland Malt, kwa wananchi walioshiriki katika zoezi la utoaji wa damu pia wafanyakazi wake walijitolea kutoa damu.
Mratibu wa matukio wa TBL Mwanza akigawa kinywaji cha Gland Malt kwa baadhi ya wananchi waliojitokeza kuchangia damu katika viwanda cha furahisha jijini Mwanza.
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL kiwanda cha Ilala jijini Dar es Salaam wakishiriki zoezi la kujitolea kutoa damu.
MUHAS YAADHIMISHA WIKI YA UBUNIFU
-
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu Idara inayohusu Sayansi na Teknolojia
imetengeneza mwongozo wa matumizi ya Akili Mnemba (AI) katika Taasisi zake
za E...
MUHAS YAADHIMISHA WIKI YA UBUNIFU
-
Mkurugenzi wa Elimu ya Juu kutoka Wizara ya Elimu, Profesa Peter Msofe,
akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Ubunifu ya Chuo Kikuu cha
Afya na S...
MUHAS YAADHIMISHA WIKI YA UBUNIFU
-
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu Idara inayohusu Sayansi na Teknolojia
imetengeneza mwongozo wa matumizi ya Akili Mnemba (AI) katika Taasisi zake
za Elimu...
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.