ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, May 16, 2019

TANZIA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA LATANGAZA KIFO CHA ASKOFU MSTAAFU MMOLE.


Askofu Mstaafu marehemu Gabriel Mmole
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania limetangaza kifo cha Mhashamu,Askofu Mstaafu wa Jimbo katoliki la Mtwara,Gabriel Mmole aliyefariki dunia siku ya jana, Mei 15 Saa 10 alfajiri.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.