Hivi ndivyo ilivyokuwa siku ya sikukuu ya Pasaka Mwanza pale ambapo Villa Park Resort ya jijini Mwanza ikishirikiana na Kipindi cha Saturday Xpress toka Jembe Fm ilikuwa ni burudani ya muziki wa Live Band toka kwa Bendi maarufu inayotikisa Kanda ya Ziwa Super Kamanyola pamoja na mwanadada Alicious, Mkongo anayeishi nchini Kenya.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.