GSENGOtv
Wafanyabiashara mkoani Mwanza wametakiwa kuweka kumbukumbu sahihi za biashara zao ili serikali iweze kupata kodi yake kikamilifu na kupunguza malalamiko kwa serikali katika makadirio ya ulipaji wa kodi.
Hayo yamebainishwa mkoani Mwanza na Mtaalam kondi mamlaka ya mapato Tanzania TRASweetbert Igambisa katika wa klabu ya wafanyabishara waliokutanishwa na banki ya KCB.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.