ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, December 6, 2018

HII HAPA SIRI YA USHINDI KWA QUEEN ELIZABETH MISS WORLD 2018.Mwakilishi wa Tanzania katika kinyang’anyiro cha kumtafuta mrembo wa dunia (Miss World), Queen Elizabeth Makune amefanikiwa kuingia katika orodha ya warembo mia moja watakao wania taji la mrembo wa dunia, fainali ikitarajiwa kufanyika Sanya nchini china Decemba 8 mwaka huu.

Ili kupata mshindi wa taji hilo kila mrembo atapigiwa kura kumuwezesha kuibuka mshindi,kamati ya Miss world imetoa tovuti maalumu na vyazo mbalimbali vya kupiga kura mtandaoni link kwa kila nchi kwaajili ya kumpigia kura mshiriki ane wakilisha nchi husika.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.