ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, December 1, 2018

SIKIA KAULI KUHUSU WASAFI FESTIVAL MWANZA KUTOKA KWA MKURUGENZI WA JEMBE MEDIA LTD



GSENGOtV

Tarehe 15 Mwezi Disemba 2018 Wasafi Festival inafanyika Mwanza, hii itakuwa mara baada ya kuzunguka mikoa takribani mitano.

Jana ijumaa katika kipindi cha Hit Zone kinachoruka kupitia Jembe Fm, Mkurugenzi wa kituo hicho Dr. Sebastian Ndege ametoa kauli ambayo imewastua wengi. 

Ukurasa wa Twitter wake Diamond Platnumz unamaneno haya kwenye picha hapo juu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.