ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, December 5, 2018

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN AZINDUA MRADI WA UCHUGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Daktari Bingwa wa Uchunguzi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Dr. Msafiri Marijani, akitowa maelezo ya viashiria vya Saratani ya Shingo ya Kizazi wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi uliofanyika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar,kulia kwa Rais Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed nna Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi wakifuatilia maelezo hayo.(Picha na Ikulu) 5/12/2018.

NO 1732/////RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Daktari Bingwa wa Uchunguzi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Dr. Msafiri Marijani, akitowa maelezo ya viashiria vya Saratani ya Shingo ya Kizazi wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi uliofanyika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar,kulia kwa Rais Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed nna Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kushoto Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar.Bi. Asha Abdallah Ali.(Picha na Ikulu) 5/12/2018.

NO 1883////RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar,uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)5/12/2018.

NO 1841///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Balozi wa Mradi wa Uchuguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma, wakati wa uzinduzi huo uliofanyika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)5/12/2018.

NO 1759///MADAKTABI Bingwa kutoka Nchini China wanaofanyia Kazi zao katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Mradi huo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)5/12/2018

NO 1775////NAIBU Rais wa Hospitali ya Naijing Drum Tower ya China Dkt. Yu.Chenggong akitowa maelezo kuhusiana na Mradu huo wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)5/12/2018. 

NO 1792///BALOZI Mdogo wa Chini anayefania kazi zake Zanzibar Balozi Xie Xiaowu, akizungumza na kutowa Salamu za Nchi yake wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu).5/12/2018.

NO 1820////WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Mhe. Mahmoud Thabit Kombo wa kwanza akiwa Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Afya Nchini Sierra Leone Ndg. David Banya, wakiwa na Viongozi wa Serikali wakifuatilia hafla hiyo ya uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu).5/12/2018.

NO 1940///BAADHI ya Waalikwa na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar , uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu).5/12/2018.

NO 1833///// WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Uzinduzi wa Mradi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi Zanzibar, uliofanyika katika katika ukumbi wa Sheikh Idisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Shein, kuzindua Mradi huo leo.5/12/2018.(Picha na Ikulu)

NO 1976///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Madaktari Bingwa kutoka Nchini China.(Picha na Ikulu)5/12/2018.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.