GSENGOtV
Wananchi wa kijiji cha Msimbazi kata ya Uhambule wilayani Wanging’ombe mkoa wa Njombe hawajaridhika na ujenzi unaofanywa na mkandarasi anayejenga madarasa mawili na vyoo kwa ajili ya shule ya msingi ya mfano ya Msimbazi ambao unafadhiliwa na Mpango wa Kunusuru kaya masikini (TASAF) baada ya kutumia nguvu kazi zao za kusomba mawe na kuchanga zaidi ya shilingi milioni tisa kuunga mkono mradi wa shule, huku kiasi cha shilingi milioni 65 zikiwa zimetolewa na Tasaf, lakini hali hairidhishi baada ya kutumia kiasi cha shilingi milioni 45 hadi sasa….
TAARIFA YA AMIRI KILAGALILA KUTOKA WANGING’OMBE MKOA WA NJOMBE INAELEZA..
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.