GSENGOtV
Ni kupitia Mradi wa Data Driven Advocacy (DDA) unaozijengea asasi za kiraia na wanahabari wa vyombo vya habari mbadala kutumia takwimu katika ushawishi na utetezi wa kazi zao, ambapo waandishi wa habari licha ya kupata fursa ya kujadili changamoto wanazokutana nazo, sheria wapi zinawakwamisha pia wanapata fursa ya kufunguka kile walichojifunza na namna watakavyokwenda kukifanyia kazi kwa maslahi ya taifa.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.