ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, October 26, 2018

CHAMA CHA WALIMU TAZANIA CHATINGA MWANZA.

 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella amepokea ugeni kutoka Chama cha Walimu Tanzania ukiongonzwa na Rais wao Comrade Leah H. Ulaya waliofika Mkoani hapa kwa ajili ya maandalizi ya maadhimisho ya siku ya mwalimu duniani pamoja na maadhimisho ya  Jubilei ya Miaka 25 ya kuzaliwa Chama cha Walimu Nchini (CWT) yanayotarajiwa kufanyika Novemba 1 mwaka huu Mkoani hapa.

Kaulimbiu ya Maadhimisho  hayo "Haki ya kupata elimu ni haki ya kuwa na Mwalimu Mahiri."







Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.