ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, October 30, 2018

TIME YA WANAVYUO WA MWANZA KULA BATA NASI IMEWADIA.


🔥🚨 WANAFUNZI wa Vyuo vikuu Jijini Mwanza... JEMBEKA CAMPUS JAM 2018 ndio Hii hapa sasa.!!!!. Na hapa tunazungumzia ishu moja tu.... Kula Bata na WANAFUNZI wa Vyuo vikuu vyote Jijini Mwanza... Tunakula Burudani Kali, Games za kutosha.. Competitions za kutosha... Zawadi kwa Washindi..🥂Drinks na Nyama Choma Live!!..Talents kutoka kwa WANAFUNZI...na mengineyo kibao
_________
Tutakutana Tarehe 10/11/2018 pale JEMBE BEACH RESORT... 
Kwa mchakato wa Tshs 5000/- tu....
________
Utamu Bado unaendelea...

Keep it 93.7 @jembefm kufahamu exclusives za JEMBEKA CAMPUS JAM 2018

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.