Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Mh. Dkt. Harrison Mwakyembe ameteua wajumbe watano wa BASATA akiwema Msanii wa Bongo Flava Hamis Mwinjuma, Mwana FA pamoja na msanii wa Bongo Movie Single Mtambalike, Richie.
Tupe maoni yako
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.