ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, September 25, 2018

MBUNGE WA JIMBO LA KWIMBA SHANIF MANSOOR,AFUNGUA BARABARA ZA VIJIJI AMBAZO ZILIKUWA HAZIPITIKI JIMBONI KWAKE.



NA ZEPHANIA MANDIA/GSENGOtV

MBUNGE wa jimbo la Kwimba Shanif Mansoor amefungua barabara za vijiji jimboni kwake ambazo kwa kipindi kirefu zilikuwa hazitumiki kwa kuwa zilikuwa hazipitiki kutokana na ubovu kwa barabara hizo.

Aidha Mhe. Mansoor ametembelea pia kukagua upanuzi wa Kituo cha Afya Mwamashimba ambacho kipo katika hatua ya mwanzo ya ujenzi.

Moja ya adha kubwa wanayoipata wananchi Jimbo la Kwimba kwa kipindi kirefu imekuwa uhaba wa kupatikana huduma za afya, hivyo upanuzi huo utasaidia kuwa na hakika ya usalama wa afya kwa wananchi hasa wanawake na watoto.




Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.