🛑..... Mkurugenzi Mkuu Bugando Medical Centre anasikitika kutangaza kifo cha Sr. Suzan Bartholomew - Mkurugenzi wa Fedha na Mipango kilichotokea usiku wa kuamkia leo hapa AICU Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.
.
.
"Bwana ametoa, Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake Lihimidiwe"
#Amen
#Amen
#JembeHabari
#GsengoBlog
#GsengoTv
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.