Bwana Giovanni Di Piazza kutoka mradi wa uimarishaji wa mifumo ya Sekta za Umma PS3 ambao ni wadau wa maendeleo katika uimarishaji wa mifumo akitoa elimu kwa mwananchi wakati wa maonesho ya Nane Nane 2018 juu ya Mfumo wa tovuti za Serikali (GWF) mkoani Simiyu (Picha zote na Atley Kuni wa OR TAMISEMI)
Bwana Robert Kwikolela, Mkurugenzi Msaidizi kutoka Idara ya Tume ya Utumishi wa Walimu OR TAMISEMI, akitoa ufafanuzi wa mambo wakati wa maonesho ya Nane Nane 2018 mkoani Simiyu.
Mwananchi akitaka ufafanuzi wa juu wa mfumo wa taarifa za shule (SIS), kutoka kwa Coster Massawe wakati wa maonesho ya Nane Nane yanayo endelea mkoani Simiyu.
Bwana Innocent Mrema akiwa anatoa Elimu kwa wananchi
kuhusu mifumo mbali mbali inayosimamiwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI, kwenye Maonesho ya Nane Nane mkoani Simiyu 2018
Bwana Coster Massawe Afisa Mtakwimu, kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI akitoa elimu ya Mfumo wa taarifa za shule (School Information Systerm), wakati wa maonesho ya Nane Nane 2018, mkoani Simiyu.Dkt. Julius Makundi wa OR TAMISEMI, akitoa ufafanuzi wa mambo wakati wa maonesho ya Nane Nane 2018 mkoani Simiyu
Bwana kutoka kampuni ya Mabasi yaendayo kasi Hassan Uledi akitoa elimu kuhusu mabasi hayo na utendaji kazi wake.
Bwana kutoka kampuni ya Mabasi yaendayo kasi Hassan Uledi akitoa elimu kuhusu mabasi hayo na utendaji kazi wake.
Maonesho ya Nane Nane 2018 wananchi wakiwa katika Banda la Ofisi ya Rais TAMISEMI wakipata elimu juu ya huduma mbali mbali za Ofisi hiyo, Wadau naomba mpokee habari picha kwa ajili mitandao yetu.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.