Mkuu wa mkoa Mwanza John Mongela, mapema leo amempokea Rais mstaafu wa Tanzania wa awamu ya tatu katika uwanja wa ndege wa Mwanza Mhe.Benjamin Makapa, ambeye pia ameambatana na mkewe Mama Anna Mkapa.
Mongella alikuwa ameambatana na kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa akiwemo Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Kangi Lugola.
Mzee Mkapa ataeleke mkoani simiyu kwa ajili ya kufungua maonyesho ya nane nane.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.