ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, August 3, 2018

HIKI NDICHO KISHINDO CHA KONGAMANO LA KANISA LA METHODIST JIJINI MWANZA.NA ZEPHANIA MANDIA WA G.SENGO TV
KONGAMANO LA KANISA LA METHODIST LENYE MAKAO YAKE MAKUU NCHINI KENYA LIMEFANYIKA MKOANI MWANZA NCHINI TANZANIA KWA MAFANIKIO MAKUBWA.

NI KATIKA UWANJA WA NYAMAGANA KONGAMANO HILO LIMEFANYIKA IJUMAA YA TAREHE.03.08. 2018.  

MICHEZO MBALIMBALI IMEHUSISHWA NAO WASHIRIKI WAKIWA WANAUME KUTOKA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.