Baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla kupata ajali asubuhi hii akitokea mkoani Arusha kuelekea Manyara karibu na eneo la Magugu mkoani humo na Ofisa wa habari, Hamza Temba amefariki dunia.
Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo), Zitto Kabwe kupitia akaunti yake ya twitter ameyasema “Ndugu yetu @HKigwangalla amepata ajali. Nimeongea na msaidizi wake aliyekuwa kwenye gari iliyopata ajali na ameniambia Waziri ameumia kidogo na anapata matibabu Kwa sasa.
Mwana Habari wa Wizara amefariki ( inna lillah ). Hali ya Waziri inaendelea vizuri. Tuendelee kumwombea dua”
Mwana Habari wa Wizara amefariki ( inna lillah ). Hali ya Waziri inaendelea vizuri. Tuendelee kumwombea dua”
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji amesema haya kupitia twitter
”Pole sana Mh. Kigwangala na wote mliopatwa na madhira haya. Tunawaombea afya njema majeruhi wote. Pia, roho ya marehemu ipumzike kwa amani! A comprehensive and integrated plan to mitigate RTA is critical. It is not all about speed but also road signs etc are necessary for safety!”
MBUNGE wa Nzega Mjini, (CCM), Hussein Bashe amesema amesema haya kupitia twitter
”It is Sad news @HKigwangalla amepata ajali maeneo ya Magugu this morning hali yake sio Nzuri na mtu mmoja amefariki Let us Pray for him”
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.