ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, August 21, 2018

GUNDUA KIASI GANI HAUKO SALAMA KATIKA MATUMIZI YA MTANDAOGSENGOtV
Mitandao ya kijamii katika miaka ya sasa inatoa upenyo wa kuficha baadhi ya taarifa na kumbukumbu kiasi cha kutumiwa na baadhi ya watu kuwa sehemu muhimu ya kuhifadhi mambo ya siri na si kwa mtu tena au kampuni, kwa sababu unakuwa wewe na kompyuta yako, simu au tabiti wakati wa mawasiliano. 

Kwasababu huonani na mtu unayempa taarifa yako akuhifadhie, unaweza kujidanganya kwamba uko salama kumbe sivyo.

Kwanini watu wamepigwa na wanaendelea kupigwa (kuibiwa) ile hali funguo yaani password walikuwa nazo wao wenyewe tu? 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.