ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, August 27, 2018

PICHA:- MIRADI MBALIMBALI YAZINDULIWA NA MWENGE WA UHURU WILAYANI KWIMBA.

Kiongozi Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa  Ndg. CHARLES FRANCIS KABEHO, akimtwisha ndoo ya maji mama mwakilishi wa wananchi wilayani Kwimba mara baada ya kuzindua mradi wa maji. Kauli mbiu kwa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2018, inasema  “Elimu ni Ufungo wa Maisha Wekeza Sasa kwa Meendeleo ya Taifa”

Mradi baada ya mradi......
Ujenzi unaendelea naye Kiongozi Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa  Ndg. CHARLES FRANCIS KABEHO akiwa na Mbunge wa jimbo husika pamoja naye Mkuu wa Wilaya hiyo wakitia mkono kakika kazi.
Mbunge.....
Mkurugenzi...
Diwani....
Viongozi mbalimbali wa wilaya wamehudhuria tukio hilo, zikiwemo kamati za ulinzi na usalama mkoa Mwanza na wilaya, viongozi wa Chama cha mapinduzi (CCM )Mhe. SHANIF MANSOOR, Mbunge wa  vitendo wa Jimbo la Kwimba pamoja na wananchi wa maeneo hayo.
Mabango ya ujumbeZ...........
Ukakamavu..........
'Itapendeza............'
Ni kuserebuka tu.....
Mbunge wa Jimbo la Kwimba Mhe. Shanif Mansoor akiwa na viongozi wengine wa ngazi mbalimbali kwenye mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella akiwa na Mbunge wa Jimbo la Kwimba Mhe. Shanif Mansoor wakijumuika kucheza ngoma ya asili toka kwa moja ya vikundi wilayani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella akiwa na Mbunge wa Jimbo la Kwimba Mhe. Shanif Mansoor wakijumuika kucheza ngoma ya asili toka kwa moja ya vikundi wilayani humo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.