ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, July 22, 2018

JOH MAKINI, MBASHA, CHEGE WALIVYOPAMBA UZINDUZI WA KAMPENI YA 'FURAHA YANGU'

  Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella akiungana na meza kuu kuyakata mapanga na msanii wa Bongo fleva Chege Chigunda, katika uzinduzi wa kampeni ya uhamasishaji upimaji kwa hiari iliyofanyika kwenye uwanja wa Furahisha jijini Mwanza.
 "Aaaaah mweshimiwa umeuwaaa!" ni kama maneno ya Chege hapa kwa Mongella.
 "Aksanteni.....zamu yenu sasa" namlisha maneno Mhe. Mongella.
Mtoto wa mama Saidi Chege Chigunda.
Mkali wa muziki wa injili ambaye pia ni muhamasishaji wa shughuli za kijamii mwimbaji Emmanuel Mbasha akitoa burudani kwa wakazi wa Mwanza katika uzinduzi wa Kampeni ya kuhamasisha wananchi kupima kwa hiari VVU iliyofanyika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza.
Watu na watu wao.

Ujumbe ukipenya kwa wananchi viwanja vya Furahisha jijini Mwanza.
Mkali wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania ambaye pia ni muhamasishaji wa shughuli za kijamii Joh Makini aliwakosha wananchi waliojitokeza Mwanza katika uzinduzi wa Kampeni ya kuhamasisha wananchi kupima kwa hiari VVU iliyofanyika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza.
Shangwe la amsha za Joh Makini ni balaaaa.....
Joh Makini jukwaani.
Ze wananchiz.
Watu na watu wao muite Joh Makini.
Safu ya washereheshaji nyanja tofauti tofauti. Kutoka kulia ni Dj Cutter toka Diamond Pub, Deejay K-Flip ambaye ni Meneja wa vipindi Jembe Fm Mwanza, Fundi mitambo na kushoto ni mwimbaji muziki wa injili Emmanuel Mbasha.

Wana.
Dj Cutter & K-Flip.
Picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella wa pili kutoka kulia, wengine  ni Joh Makini (wa kwanza kulia), Emmanuel Mbasha wa kwanza kushoto akifuatia na Chege Chigunda.
Picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella wa pili kutoka kulia, wengine  ni Joh Makini (wa kwanza kulia), Emmanuel Mbasha wa kwanza kushoto akifuatia na Chege Chigunda.
Leo tumezindua hapa........Picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella wa pili kutoka kulia, wengine  ni Joh Makini (wa kwanza kulia), Emmanuel Mbasha wa kwanza kushoto akifuatia na Chege Chigunda.

Ngoma asili kutoka kundi la Bujora jijini Mwanza.
Ngoma asili kutoka kundi la Bujora jijini Mwanza likitoa burudani kwa wakazi wa Mwanza kwenhye uzinduzi wa Kampeni ya kuhamasisha wananchi kupima kwa hiari VVU iliyofanyika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza.
Gusa basi au nikuletee?
Picha ya pamoja waburudishaji na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.