ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, July 7, 2018

DIAMOND PLATNUM ACHAGULIWA NA WERRASON SASA MIPANGO YAJAGSENGOtV

Mara baada ya kupiga show Jijini Dar es salaam mwanamuziki mahiri wa muziki wa dansi kutoka nchini Congo Werrason ametua hapa nchini kwa lengo la kufanya show katika jiji la Mwanza na macho yake akiyaelekeza kufanya Kolabo na wasanii mbalimbali akiwemo Diamond Platnumz ambaye anamtaja kuwa ni mmoja kati ya wale anao waelewa.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.