ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, June 25, 2018

UKISOMA KITABU HIKI UTADHANI KINAZUNGUMZA NAWE


NA ZEPHANIA MANDIA/GSENGOtV

Kutana na Josephat Mwenge Mwanzi ni mhadhiri wa muda katika Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma SJMC, Chuo kikuu cha Dar es salaa.

Ni mlezi wa waandishi wa habari chipukizi nchini Tanzania. Amekuwa Mhariri Mkuu wa BBC Media Action nchini Tanzania 2015-2016, Ripota wa Idhaa ya Kiswahili BBC 2009-2011 na mwezeshaji katika miradi ya kuboresha vyombo vya habari ya Tanzania Media Foundation (TMF)

"Gonjwa jipya linaua watu kama zimwi lenye hasira. Edgar analazimika kuamua jambo moja; kubaki nyumbani na uishi kwa matumaini; au kuacha wadogo zake ili kutafuta maisha mapya. Nilipomaliza kusoma kitabu cha ukungu, nimejiuliza: kati ya umaskni na maradhi ni kipi kitatangulia?" - Madaraka Nyerere mtoto wa Mwl. Julius K. Nyerere anayasema hayo mara baada ya kukisomoa kitabu kiitwacho 'UKUNGU'

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.