GSENGOtV
MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2018 IMEDHIHIRISHA KUWA NEYMAR BADO MCHANGA KWA MESSI NA RONALDO
Brazil inamtegemea Neymar ila kufikia sasa mchango wake kwenye mchuano huu haujaonekana.
Hata baada ya Behrami kuondolewa kwenye mchezo wa jana kama tahadhari kwa kulishwa kadi ya njano, Nyota huyu wa PSG hachukuliwi kuwa tishio na jana hakufanya chochote.
Jeh hili linamaanisha nini?
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.