Amini na kwambia Dunia bila changamoto haiwezi kunoga, ndio maana kila kukicha tumekuwa tukikutana na changamoto za hapa na pale kama vifo,ajali na manyanyaso.
New Talents Tanzania Crew tunakuletea Simulizi ambayo imepewa jina la ‘KINYAGO’ Simulizi hii imegusa pande nyingi katika maisha ya wanadamu, imeandikwa na Mrembo Rose Peter Maarufu kwa jina la ‘PUKUU’ chini ya usimamizi wa Director Mr.Super News tunaomba Support yako katika kuufikisha ujumbe uliyomo ndani ya Simulizi hii kwa jamii Asante.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.