GSENGOtV
Ni ndani ya Show kali matata full mtakato iliyopigwa mwishoni mwa wiki ndani ya jiji la miamba Mwanza yakuitwa HIT ZONE TURN UP ndipo msanii toka jijini Mwanza Coyo Mc anafanya 'surprise' kwa mashabiki wake na kuibuka bila kutambulishwa kwenye stage.
Shangwe zinatanda nao mashabiki wanaimba naye.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.