ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, May 14, 2018

PART 2:- ILIVYOKUWA 'HIT ZONE TURN UP'

 Mwanamuziki Harmonize kwa stage la show ya Hit Zone Turn Up iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mwanza.
 Harmonize na shangwe za Wana-Mwanza 
 Makamuzi ya hatari kwa stage.
 Mkurugenzi wa Jembe Media Group Dr. Sebastian Ndege al-maarufu Jembe ni Jembe akisalimia wakazi wa Mwanza waliojitokeza katika Hit Zone Turn Up na hapa ni wakati Harmonize alipomtambulisha katikati ya show yake eneo la tukio Rock City Mall Mwanza.
 Baadhi ya Warembo washiriki wa kinyang'anyiro cha Miss Mwanza ambao soon wataelekea kambini kwaajili ya shughuli mpango mzima wakiwa na mwalimu wao Mustapha Kinkullah na mwandaaji mkuu wa Shindano hilo Pamela (pale kati).
 Team Jembe.....
 Deejay Jacko (kulia) akiwa na Best WCB.
 Pamoja sana.
 Kaza.
 This is Konde Boy.
Jiografia.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.