ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, April 8, 2018

UKWELI JUU YA KUOKOTWA KWA MWANDISHI WA HABARI.


UKWELI JUU YA KUOKOTWA KWA MWANDISHI WA HABARI Kupitia mahojiano Maalumu na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni Jumanne Muliro , amefunguka na kuelezea taarifa za uchunguzi za awali zinaonesha kuwa Mwandishi wa Gazeti la the Guardian kuwa alikuwa amelewa kupita maelezo.
Hata hivyo Kamanda Muliro ameeleza kuwa watu wasiwe wepesi kuhukumu au kutoa habari zisizo na uhakika kwani ni kosa kisheria,fuatilia mahojiano haya ujue kiundani juu ya taarifa hii.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.