ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, April 16, 2018

KICHAPO CHA MAN U HII LEO, CHAWATANGAZA MANCHESTER CITY KUWA MABINGWA.


Kocha wa Manchester United Jose Mourinho katika mahojiano na wandishi wa habari ameyasema haya;

- Nimejaribu kuwafundisha kile walichopaswa kufanya dimbani lakini mambo hayakuwa rafiki kwetu.
- Ukiwa mjanja wa Mambo, si mara zote utafanikiwa, kumbuka kuwa kuna changamoto, nazo hizo changamoto ndizo hizi.
- Najua wengi wanatunyooshea vidole kuwa ndiyo tulio wazawadia ubingwa Man City, lakini ukweli utabaki pale pale kuwa wamechukuwa ubingwa kwa kuwa wana timu nzuri. Mshambuliaji wa Manchester United akiwa amekata tamaa kuunasa mpira uliotupiwa kambani kupitia kona waliyoipata West Brom na kuzaa matunda.
 Rodriguez akishangilia pamoj na wachezaji wenzake baada ya kuipatia timu ya West Brom goli la ushindi wa kustitusha dhidi ya Manchester United mchezo uliopigwa jana jumapili Old Traford.
 Manchester United midfielder Nemanja Matic looks dejected as the West Brom players celebrate their goal in the background
Lukaku na wachezaji wenzake wa Manchester United katika nyuso za unyonge wakitoka dimbani baada ya mchezo kumalizika nao kukwanyuliwa nyumbani 0-1.

Bao pekee la Jay Rodriguez dakika ya 73 ambalo limeipa ushindi wa 1-0 West Bromwich Albion leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford, hivyo kuwafanya Manchester City wathibitishwe kuwa mabingwa wapya baada ya matokeo hayo

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.