ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, April 3, 2018

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KATIKA UZINDUZI WA KUFUA UMEME, KINYEREZI 2


LIVE: JPM Akihutubia Katika Uzinduzi Mtambo wa Kufua Umeme, Kinyerezi 2 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, leo Aprili 03, amezindua mradi wa kufua umeme wa Kinyerezi 2, ulioanza mwaka 2015 na kukamilika mwaka huu 2018. Mradi wa Kinyerezi 2 utasaidia kupunguza tatizo la umeme nchini na kuwezesha utekelezaji wa sera ya ujenzi wa viwanda. Mradi huo unaozalisha Megawati 240, utaongeza kiwango cha uzalishaji wa umeme hadi kufikia Megawati 1200 na hivyo kupunguza utegemezi wa umeme unaozalishwa kwa maji ambao awali ulikuwa hautoshi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.