ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 12, 2018

VIDEO: MBUNGE CHUMI AWATOA HOFU WANANCHI JUU YA UPATIKANAJI WA UMEME



  Mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini Cosato Chumi akiongea na viongozi wa chama cha mapinduzi jimbo hilo walipokutaka mjini mafinga kuzungumzia changamoto za jimbo hilo na nini kifanyike kutatua changamoto hizo.
  Mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini Cosato Chumi akiwa na viongozi mbalimbali wa chama cha mapinduzi 


Na Fredy Mgunda,Iringa.


 MBUNGE wa jimbo la Mafinga Mjini Cosato Chumi amesema kuwa vijiji vyote vya jimbo hilo vitapatiwa umeme wa LEA ambao unafadhiliwa na serikali kwa lengo la kuchochea maendeleo ya wananchi waliopo vijijini

Chumi amewatoa hofu hiyo wananchi wa jimbo hilo juu ya upatikanaji wa umeme wa LEA wakati alipofanya mkutano na viongozi wa chama cha mapinduzi wa kata zote wa jimbo hilo.

Lakini mbunge huyo alitoa dira ya muelekeo wa jimbo hilo kimaendeleo kwa kuwakumbusha wapi walikotoka na wapi wanaendelea

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.