Mwananchi wa Kilwa Kusini, Said Saleh, akimuuliza swali Naibu Waziri wa Mambo ya Ndaniya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), kuhusu kukamatwa na polisi kwa nduguzao wanaotuhumiwa kwa uhalifu.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Picha na Wizaraya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mwananchi wa Kilwa Kusini, Rehema Said , akimuuliza swali Naibu Waziri wa Mambo yaNdani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), kuhusu uhalifu wanaofanyiwawanawake ikiwemo kubakwa na kuporwa pesa na mali na wahalifu. Picha na Wizara yaMambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na baadhiya wananchi wa Wilaya ya Kilwa Kusini baada ya kumaliza mkutano wa hadhara ambapoaliwaasa wananchi hao kushirikiana na vyombo vya Ulinzi na Usalama kufichua wahalifu ikiwani kuisaidia serikali katika adhma ya kukomesha matendo ya uhalifu nchini. Picha na Wizara yaMambo ya Ndani ya Nchi
Wananchi wa Wilaya ya Kilwa wakimsikilza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), akizungumza wakati wa mkutano wa hadharaambapo aliwaasa wananchi hao kushirikiana na vyombo vya Ulinzi na Usalama kufichuawahalifu ikiwa ni kuisaidia serikali katika adhma ya kukomesha matendo ya uhalifunchini.Mkutano huo umefanyika katika Viwanja vya Maalim Seif,Kilwa Kusini. Picha naWizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI - WIZARA YAMAMBO YA NDANI YA NCH
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.