ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, March 24, 2018

MWENYEKITI UVCCM AKUTANA NA WABUNGE WAWAKILISHI VIJANA MJINI DODOMA.

 Na zephania mandia.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Ndg. Kheri Denis James (MCC) jioni ya leo amekutana na kufanya  mazungumzo na wajumbe wanaowakilisha vijana kwa nafasi za wanawake katika vyombo vya kutunga sheria  (Wabunge  katika Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania na Baraza la wa Wawakilishi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar) katika ukumbi wa secretariet  White house Mjini Dodoma.
Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.