ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, March 13, 2018

SEHEMU YA MADHARA YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NCHINIWatu 5 wanasadikika kufa maji baada ya mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia jana wilayani lushoto katika kijiji cha lukozi jimbo la mlalo.

Aidha mvua hiyo kubwa iliyonyesha kaitika kijiji hicho imesababisha madhara makubwa nyumba kuanguka huku mawasiliano ya yakikosekana miundombinu ya barabara madaraja kuharibika na mabasi yanayoto dar,arusha,kilimanjoro tanga yakiekea lukozi,makose,mtae na mlalo yakishindwa kwenda safari hizo kutoka na mvua hizo.

Miundombinu mingine nguzo za umeme miundo mbinu ya maji. kutokana na mvua hizo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.