ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, March 11, 2018

MONGELLA AZINDUA KITUO CHA MICHEZO MWANZA.


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amezindua Kituo cha Michezo Nyakabungo/Mirongo Sports Center Mwanza.

 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella (mwenye mkasi) akikata utepe wa uwanja kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Michezo Nyakabungo/Mirongo Sports Center Mwanza, kulia kwake ni Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mama Angelina Mabula (wa pili kutoka kushoto).
 Sasa ni wakati wa kuonyesha maufundi.......Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella akijiandaa kufunga katika goli la mpira wa kikapu baada ya tukio la kukikata utepe wa uwanja kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Michezo Nyakabungo/Mirongo Sports Center Mwanza,
 Ni mwendo wa kuonyesha maufundi tu.................gooooooooooOOOoool.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella akipongezwa na Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Stanslaus Mabula, huku katika picha kulia kabisa akionekana Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Bi. Marry Tesha naye akiangua kicheko........ni katika kuzindua Kituo cha Michezo Nyakabungo/Mirongo Sports Center Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.