MKUU wa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza Mama Mary Tesha amewaonya Mawakala wa Mitandao ya simu kuacha hila na udanganyifu kwa wateja ili kujenga imani ya mitandao hiyo kwa Jamii.
Bi Tesha amebainisha hayo wakati
akifungua moja ya maduka ya kisasa ya kutolea huduma ya kampuni ya simu za
Mkononi ya Airtel,eneo la Nyegezi,jirani na kituo cha mabasi yaendayo maeneo
mbalimbali nchini.
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza Mama Mary Tesha (katikati aliyeshika mkasi) akiwa pamoja na Meneja Miradi ya Airtel Kanda ya Ziwa Joseph Mushi (mwenye tshirt nyekundu) pamoja na wadau wengine muhimu tayari kukata utepe ili kuzindua duka la Wakala wa huduma za kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel,eneo la Nyegezi, jirani na kituo cha mabasi yaendayo maeneo mbalimbali nchini.
Naam ni wakati wakusherehekea uzinduzi wa duka la Wakala wa huduma za kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel,eneo la Nyegezi, jirani na kituo cha mabasi yaendayo maeneo mbalimbali nchini.
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza Mama Mary Tesha (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Miradi ya Airtel Kanda ya Ziwa Joseph Mushi, ambaye amefunguka kwa kusema kuwa kufunguliwa kwa duka hilo ni mwendelezo wa kampuni yake kusogeza huduma karibu kwa wateja badala ya kuzifuata kwenye maduka makubwa mijini.
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza Mama Mary Tesha amekuwa mteja wa kwanza kupatiwa huduma mara baada ya kufanya uzinduzi wa duka hilo la Wakala wa huduma za kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel, lililoko katika eneo la Nyegezi, jirani na kituo cha mabasi yaendayo maeneo mbalimbali nchini.
Kitabu cha wageni.
Baadhi ya simu zenye bei nafuu na imara kwa matumizi zilitambuishwa na sifa zake uzinduzi wa duka hilo la Wakala wa huduma za kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel, lililoko katika eneo la Nyegezi, jirani na kituo cha mabasi yaendayo maeneo mbalimbali nchini.
Jembe 280.
Muonekano wa nje, duka la Wakala wa huduma za kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel, eneo la Nyegezi,jirani na kituo cha mabasi yaendayo maeneo mbalimbali nchini.

Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.