LEO Jumatatu nimepata kibali cha kutinga gym iliyonikuza kitaani toka pande za Arusha Ngarenaro.
Ni gym iliyoko barabara ya Nairobi mjini hapa.
Sikufanikiwa kuwakuta wadau tuliokuwa nao enzi zetu zaidi ya kukutana na sura ngeni na mpya za machalii wa sasa.
Any ways enjoy nilichofanya ingawa niko unga hivyo nastua misuli.
Ke ke ke......
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.