Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa
tatu kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya ulinzi na usalama
ya mkoa wa Lindi, kulia kwa IGP Sirro ni Kaimu Mkuu wa Mkoa Mh Shaibu Ndamanga na kushoto kwake ni
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi Renata Mzinga.
Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati)
akiwa na Askari wa Mkoa wa Lindi baada ya kumaliza kukagua mazoezi ya ukakamavu na utayari yaliokuwa
yameandaliwa na kikosi cha kupambana na uhalifu mkoani humo. Picha na Jeshi la Polisi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.