WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA POLISI TANZANIA
TELEGRAMS: POLISI,
TELEPHONE: 2500712
KAMANDA WA POLISI,
Fax: 2502310
MKOA WA MWANZA,
E-mail: mwapol@yahoo.com
S.L.P. 120,
rpc.mwanza@tpf.go.tz
MWANZA.
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBOVYA HABARI LEO TAREHE 30.11.2017
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA AMEKANUSHA TAARIFA ILIYOPOKATIKA GAZETI LA MWANANCHI LA TAREHE 30/11/2017.
LEO TAREHE 30.11.2017 KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA NAIBU KAMISHINA WAPOLISI AHMED MSANGI, AMEKANUSHA TAARIFA ILIYOPO KATIKA GAZETI LA MWANANCHILA TAREHE 30/11/2017, TOLEO NAMBA 6334, UKURASA WA TATU, INAYOSEMA KUWAAMETHIBITISHA JUU YA KUWEPO HEWA YA SUMU NDANI YA UKUMBI WA CITY MALL AMBAPO KULIKUWA KUKIFANYIKA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA VIJANA WA CCM(UVCCM) MKOA WA MWANZA.
AIDHA KAMANDA MSANGI ANASEMA, UKWELI NI KUWA ALIPIGIWA SIMU NA MWANDISHIWA GAZETI HILO TAREHE 29/11/2017 MAJIRA YA SAA 15:00 MCHANA ALIYETAKAKUTHIBITISHIWA TAARIFA YA KUWEPO HEWA YA SUMU NDANI YA UKUMBI WA CITY MALLAMBAPO KULIKUWA KUKIFANYIKA MKUTANO TAJWA HAPO JUU.
KAMANDA ALIMJIBUKUWA HANA TAARIFA NA HAWEZI KUTHIBITISHA KWANI HAJAPATA TAARIFA YEYOTE KUHISIANA NA YALIYOTOKEA KATIKA MKUTANO HUO, NA YEYE YUPO KWENYE KIKAO CHAKAMATI YA ULINZI NA USALAMA OFISI YA MKUU WA MKOA.
PIA KAMANDA HAKUFIKA ENEO TAJWA KAMA TAARIFA HIYO INAVYOSEMA, HIVYOINAONEKANA MWANDISHI WA TAARIFA HIYO ALIAMUA KUANDIKA MANENO HAYO KWA MANUFAA YAKE BINAFSI HIVYO JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA LINAOMBA GAZETIHUSIKA KUREKEBISHA.
PIA ANAOMBA WAELEWE KUWA MATUKIO YA AINA KAMA HIYOYANAHITAJI YAWE NA MAJIBU YA KITAALAMU TOKA KWA WANASAYANSI PINDIYANAPOTOKEA.
AIDHA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA LINANAEDELE KUOMBA USHIRIKIANO TOKAKWA WAANDISHI WA HABARI KWA KUFANYA KAZI KWA PAMOJA ILI KUWEZA KUENDELEAKUDUMISHA USALAMA NA ULINZI KATIKA MKOA WETU.
PIA JESHI LINAWAOMBAWAANDISHI WA HABARI KUFANYA KAZI KWA KUFUATA TAALUMA YA UANDISHI WAHABARI, UWELEDI NA MAADILI YA UANDISHI WA HABARI ILI KUEPUSHA HABARI ZA AINAKAMA HII AMBAZO ZINALETA PICHA MBAYA KWA JESHI NA MKANGANYIKO KWA JAMII.
IMETOLEWA NA;DCP: AHMED MSANGIKAMANDA WA POLISI (M) MWANZA
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.