ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, November 12, 2017

SOLOMON MUKUBWA AFUNGUKA VIGEZO KWA DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA NAYE KOLABO



Mwimbaji maarufu Afrika Mashariki aliyepitia misukosuko mpaka kutoboa kwenye sanaa Solomoni Mukubwa, kutoka nchini Kenya ameweka masharti iwapo msanii nguli, kinara wa muziki Afrika Diamond Platnumz iwapo kama Diamond ataomba kufanya naye Kolabo.

Humu ndani vilevile Solomoni kafunguka juu ya mwanamuziki wa injili wa Tanzania anayetamani kufanya naye kolabo...Jeh ni nani huyo?

Na vipi juu ya muziki wa injili kwa Kenya na Tanzania kauweka kwenye uzani gani?

Usipitwe bofya play kuufaidi mzigo mzima na hongera kwa kujiunga na wengine wenye kiu ya kupata habari za uhakika.........

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.