Kesi hiyo ambayo ilianza kusikilizwa tena Oktoba 19 mwaka huu, ilianza kwa kusikiliza ushahidi wa pande zote mbili za mashtaka na mshtakiwa, na kisha kusikiliza maoni ya wazee wa baraza la mahakama na hatimaye mahakama kumkuta Elizabeth na hatia ya kuua bila kukusudia.
Elizabeth Michael anatuhumiwa kumuua bila kukusudia aliyekuwa mpenzi wake na muigizaji mwenzake, Steven Charles Kanumba, mnamo April 7, 2014.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.