Taifa Stars imeilazimisha Benin sare ya bao 1-1 katika mchezo wa
kimataifa wa kirafiki uliopigwa leo nchini Benin. Bao la Benin
limefungwa kwa penati dakika ya 30 huku Stars wakisawazisha dakik ya ya
50.
Serikali Yaongeza Muda wa Tume ya Uchunguzi
-
*Na Mwandishi Wetu*
*DODOMA, Aprili 4, 2026 — Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
imetangaza kuongeza muda wa kukamilisha kazi kwa Tume ya Kuchun...
0 comments:
Post a Comment