MCL Digital imefika makazi ya Dk Shika mita kama 700 kutoka kituo cha daladala Tabata Mawenzi, majirani zake na watu wanaomfahamu wanamzungumzia kama mtu wa kawaida ingawa wanashangazwa na jinsi alivyojitokeza kununua majumba hayo.
Tupe maoni yako
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.