CCM Mkoa wa Mwanza wawaonya viongozi wa CHADEMA na wafuasi wake wanaofanya vurugu katika mikitano ya Kampeni ya Chama hicho ikiwemo kuwavizia na kuwashambulia kwa kuwakata mapanga kama walivyofanya kwa Kada wa CCM Thomas Waryoba ambaye aliyewahi kuwa kiongozi wa Ulinzi wa Chadema kabla ya kujiunga na CCM alipofanyiwa unyama huo hivi majuzi katika eneo la Machinjioni Kata ya Mahndu Wilayani Nyamagana.
HAPA Katibu Mwenezi wa Chama hicho mkoa wa Mwanza Mangelepaa anasimulia kilichotokea.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.