ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, October 3, 2017

RAIS :- HATA KAMA MAKONDA HAJASOMA PIGA KAZI.Akiwa kwenye Mkutano wa 33 wa Jumuiya Ya Tawala za Mitaa (ALAT) ambao uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam amenukuliwa akisema "Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alipojaribu kuzungumza kidogo vita ikawa kubwa kwake, Wanasema hajasoma hajafanya nini, mimi hata kama hajui A ila anakamata madawa kwangu ni msomi mzuri"

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.